ROBY WA UKWELI

1:55 PM
wiki hii ya j3 naenda dar kufanya ngoma mpya kwa maneke au mazuu kaka

MAKOSA SABA 7 NEY WA MITEGO NA DIAMOND WALIVYOIKOSEA HIP HOP.

12:59 PM

MAKOSA SABA 7 NEY WA MITEGO NA DIAMOND WALIVYOIKOSEA HIP HOP.

MAMBO VIPI?,NATUMAI NI WAZIMA WA AFYA TELE.KARIBUNI TENA KATIKA MAKALA YA TATU KATIKA KITIVO CHA RAP.MIEZI KADHAA ILIYOPITA NILIPATA KUSIKILIZA KIBAO CHA MSANII NEY WA MITEGO ALICHOMSHIRIKISHA MWIMBAJI AITWAYE DIAMOND.KIBAO HICHO KINAFAHAMIKA KAMA "MUZIKI GANI". NIMESHAWISHIKA KUCHAMBUA KIBAO HIKI KWA SABABU KUU MOJA.SABABU HIYO NI KWAMBA KINACHOZUNGUMZIWA NI HIP HOP NA SIO KWASABABU UMEFANYWA NA NEY WA MITEGO NA DIAMOND.
KATIKA KIBAO HIKI NILIPATA KUSIKILIZA NA KUGUNDUA BAADHI YA MAMBO AMBAYO HAYAJAUTENDEA HAKI UTAMADUNI WA HIP HOP AMBAYO YANANIFANYA KUSHAWISHIKA KUSEMA WAHUSIKA WALIOHUSIKA KUFANYA KIBAO HIKI WAMEUKOSEA UTAMADUNI WA HIP HOP.
YAFUATAYO NI MAKOSA SABA YALIYOFANYWA NA WAHUSIKA WA KIBAO HIKI.

UNAMKUMBUKA AMINA ALIE IMBA CORUS KWENYE NGOMA YA SHAREEZY MY ONLY?

7:42 AM
 

Unamkumbuka Amina ambae alifanya poa kupitia ngoma ya Shareezy My only mzigo uligongwa jupiter records chini ya producer Aloneym ameonyesha tena uwezo wake akiwa na mkali toka Octopizzo kwenye ngoma inayo kwenda kwa jina la Swag so kama ulidhani anabahatisha utakua umekosea sana,

check hii Video hapo chini                                                                 

u

VIDEO - JuaCaIi - Kuna Sheng (Official video)

7:24 AM

HUYU NI STAR GANI WAZANZIBAR.....???????

7:01 AM

VIDEO - AT FT DIDA- KITUMBUA (OFFICIAL VIDEO)

6:53 AM

Milionea akodi ‘private jet’ kwa shilingi milioni 162 kumsafirisha paka wake kutoka Urusi hadi Marekani

5:51 AM
Paka mwenye jina Marsik wa Urusi amesafirishwa na ndege binafsi ya Paramount Business Jets (PBJ), kutoka Urusi hadi Marekani kwa gharama ya dola laki moja ambazo ni sawa na shilingi milioni 162 za Tanzania.
Akisafiri kutoka Urusi hadi Marekani, Marsik anadaiwa kupata huduma ya nguvu kabla hajapanda na ndani ya ndege hiyo.
Vyeti vyake vya afya vinavyoonesha chanjo alizopata alivipata saa 24 kabla ya safari kuanza.
Tajiri huyo anadai kutumia kiasi chote hicho ili kuhakikisha kuwa paka wake anafika Marekani salama na kuepuka kunyanyasika ama kifo kwakuwa baadhi ya wanyama wanaosafiri kwa ndege za kawaida huwekwa kwenye sehemu ya mizigo hupoteza maisha.
Source: prweb.com

MZIKI WA HIP HOP KUPIGA LIVE BAND INAUA MOJA YA NGUZO ZA HIP HOP IKIWA NI DJ TOA MTAZAMO WAKO

5:24 AM

PICTURES 3 KINACHOENDELEA KWENYE MAZISHI YA MAMA MZAZI WA PROF JAY

5:15 AM


Msafala ukielekea makaburini

VIDEO - KIRAKIRAMI FT BIZZO RHYMS -NAZISAKA DOH!

4:14 AM

MISS UGANDA 2013 HUYU HAPA

4:04 AM
Stella Nantumbwe

JAY Z MAGNA CARTA HOLY GRAIL REVIEW ON THE SWITCH

3:45 AM
Add captionKama ulimiss review ya album mpya ya Jay Z Magna Carta Holy Grail kwenye show ya THE SWITCH. Isikilize HAPA

Mwili wa marehemu mama Professa Jay ndio umewasili nyumbani kwake Mbezi

3:41 AM


#R.I.P#

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 14/7/2013 YA HABARI NA MICHEZO

2:07 AM
DSC07314DSC07316DSC07317DSC07318DSC07319DSC07320DSC07321DSC07322DSC07323DSC07324DSC07325DSC07326DSC07327

VIDEO - AZMA ft CIANA- THE CLOSER I GET TO YOU (official video)

1:38 AM

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates