STORY YA JAY Z KUKUTANA NA PREZZO CHECK VIDEO HAPO CHINI

1:42 PM
Jay Z alipokutana na Prezzo wa Kenya in New York.
Jay Z alipokutana na Prezzo wa Kenya in New York.
Sehemu ya stori kubwa za AMPLIFAYA ya @CloudsFM mwaka 2012 ilikamilishwa pia na ripoti za staa wa Kenya CMB Prezzo kukutana na Jay Z, baada ya ushindi kwenye nafasi ya pili kwenye jumba la Big Brother Africa 2012, Prezzo alipata dili la One Campaign ambalo pia Jay Z ni mmoja wa mastaa waliopewa shavu kama hilo.
Siku kadhaa baadae Prezzo alisafiri mpaka Marekani ikiwa ni sehemu ya majukumu ya One Campaign ambapo pia alikutana na Jay Z kwenye jiji la New York.
Sekunde zako 26 unaweza kuzitumia hapo chini kutazama hii video ya Prezzo alipokutana na Jay Z, rapper ambae ni mmoja wa mastaa wa dunia ambao sio rahisi kumfikia hata kupata picha pamoja nae, rapper ambae hata kujibu tweets huwa ni ngumu sana…. juzijuzi alijibu tweets kwa mara ya kwanza ikawa ni historia na nilimsikia Dee Andy wa XXL Clouds FM akiripoti kwenye 255 kwamba twitter wenyewe ilibidi wampigie simu kuuliza kama ni yeye kweli au kuna mtu kaingia kwa kuibia?

familia ya former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe

1:25 PM
J

Klyinn yukwapi? tunasikia kaolewa ila hatuna uhakika, muda ulipopita…

. tunasikia kapata Watoto mapacha? …………….hayo ni baadhi ya maswali ya 

Watanzania waliokua wanazipenda na kuzifatilia kazi za 

mwimbaji ambae ni former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe.

Sasa rasmi Klyn kwenye hii post 

akiwa sasa hivi ni mama wa watoto wawili mapacha kama unavyowaona hapa chini na 

Baba yao mzazi.

.

Klyinn na mumewe Mr. Reginald Mengi na watoto wao mapacha.

Hapa chini ni baadhi ya picha za Klyinn

 na watoto wake pamoja na 

kazi anayofanya kwa sasa.

K LYN 4 K LYN 3 K LYN 1 K LYN 2

MATOKEO MECHI YA TAIFA STARS VS UGANDA HAYA HAPA

12:57 PM

Mchumba wa Nay wa Mitego apoteza kichanga chake tumboni

6:43 AM

Mchumba wa Nay wa Mitego apoteza kichanga chake tumboni baada ya kuanguka.
Nay wa Mitego anasema#Jana usiku mke wangu alianguka,alifikia tumbo kwa hiyo akawa anasikia kizunguzungu nilipompeleka hospital daktari akasema mtoto amekufa.

TRACK -STEVE Rnb FT MR BLUE - HUYU DEM

6:21 AM

Video - Shanta Neggo - Kazana

6:20 AM

HALF TIME...!!!!

6:18 AM

HALFTIME: Taifa Stars 0-0 Uganda
Mchezo uwanja wa Taifa ni mapumziko na hakuna timu iliyoliona lango la mwenzake.

video- Newe ft Soprano - Nyota ya moyo

2:13 AM

Video- Gerry wa Rhymes - lovely

2:10 AM

DIVA IMEKULA KWAKE PREZZO AMKUMBUKA MKE WAKE NA ANATAKA ARUDI NYUMBANI

12:59 AM
.  
Baada ya vurugu na vituko vyote vya Diva wa Clouds fm Na madem wengine wenye shobo kama za Diva kwa prezzo na pia ukiwa ni mwezi wa tano toka Goldie afariki dunia, Prezzo ametoa picha ya chumba cha kulala ambayo inaashiria ni nyumbani kwake amekuwa mpweke kiasi cha kumbuka mke wake aliyeachana nae ambapo picha hiyo imeambatana na msg kwamba…. ‘kitu pekee kinachokosekana ni mke’
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates