PICTURES 3 ZA HARUSI YA H.BABA NA FLORA MVUNGI

12:42 PM



WAFAHAMU WASANII WALIOSHINDA TUZO ZA KILL MUSIC AWARDS 2013 ILIYOFANYIKA JUNE 8 PALE MLIMANI CITY

11:58 AM
              Mrisho Mpoto akikabidhiwa tuzo ya wimbo bora wenye vionjo vya asili "Chocheeni kuni:"

               Ben Pol akiwa kwenye stage na tuzo yake ya Mtunzi Bora wa Mashairi Bongo Fleva.


MASHUJAA BAND KALA JEREMIAH NA OMMY DIMPOZ WANG'ARA KTMA

11:53 AM


Usiku wa jana ulikuwa ni usiku wa furaha sana kwa Mashujaa Band ambao waliongoza kwa kuondoka na tuzo nyingi kuliko wasanii wengne. Mashujaa ambao wanafanya vizuri na wimbo wao wa ''Kidole Risasi'' waliondoka na kura 5 ikiwa ni pamoja na msanii bora wa kiume band Charz Baba, mtunzi bora a mashari ya band Charz Baba, rapper bora wa band Furguson, wimbo bora wa band Risasi Kidole na tuzo ya tano waliichukuwa kupitia category ya band bora ya mwaka huku wakiwatupa kule Twanga Pepeta, Mapacha Watatu na Msondo Ngoma



EXCLUSIVE MSIKILIZE DIAMOND AKIELEZEA SABABU YA JANA KUTOHUDHURIA TUZO ZA KILIMANJARO

11:41 AM
Hitmaker Diamond Platnumz jana hakuweza kuhudhuria tuzo za Kili licha ya kushinda tuzo mbili kubwa zilizopokelewa na watu wengine kwa niaba yake. Diamond amezungumza na Bongo5 kueleza sababu iliyomsababisha ashindwe kwenda kupokea tuzo zake mwenyewe. Amesema alishindwa kwenda kwenye kilele cha tuzo hizo kubwa nchini zilizotolewa jana kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwakuwa alitakiwa kwenda kwenye uzinduzi wa kinywaji kipya cha kampuni ni ya Cocacola, kiitwacho Novida uliofanyika jana usiku kwenye mgahawa wa Akemi uliopo kwenye jengo la Golden Jubelee, jijini Dar. Amesema akiwa kama balozi wa Cocacola ilikuwa ni lazima ahudhuria uzinduzi huo. Diamond alishinda tuzo mbili ikiwemo kubwa ya msanii bora wa kiume.Msikilize zaidi hapa ambapo anawashukuru pia waliompigia kura
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates