KAMPUNI YA KUUZA RINGTONES ZA KAZI ZA WASANII NA BONGO RECORDS ZATOA TAMKO JUU YA MAUZO YA KAZI ZA NGWEA

1:22 PM
kumuenzi na kuenzi kazi zake ili ziendelee kuishi daima na familia na kazi zake.

yake iweze kufaidika Kampuni inayojishughulisha na mauzo ya ringtones za kazi za wasanii "Push Mobile" na studio iliyofanya kazi nyingi za msanii marehemu Albert Mangwea zimetoa tamko juu ya mauzo ya kazi za Mangwea, ambapo imeomba mashabiki wake wanunue kazi hizo kwa wingi kupitia mitandao ya simu kwa kupitia Code Maalumu, kama njia moja wapo ya kuenzi kazi zake

WAKATI WASANII WENZAKE WAPO WANAPOKEA MWILI WA MAREHEMU NGWAIR MSANII DIAMOND, ALIKUWA APONDA MARAHA BAHARI YA HINDI

1:18 PM
diamond ali post Picha akiendesha boti la kifahari katika
bahari ya hindi jijini Dar es salaam na
rafiki zake.MASHABIKI WAMPONDA KATIKA

MTANDAO MARA BAADA YA
KUPOSTI PICHA ZA KUONYESHA YUPO BATANI

Maelfu wampokea Marehemu Ngwea

1:12 PM










Mwili wa aliyekuwa msanii mahiri katika game ya Bongo Flava hapa Tanzania, Albert Mangwea umewasili leo nchini kutokea Afrika Kusini na kupokelewa na umati wa ndugu, marafiki na mashabiki wa kazi zake ambao kila mmoja ameguswa kwa namna yake na msiba huu mkubwa, Na hii ni tayari kwa shughuli za kutoa heshima za mwisho hapa jijini Dar siku ya kesho kabla ya kuelekea Morogoro kwaajili ya maziko.

Hali imekuwa ni ya hamaki na huzuni katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere wakati wa kuwasili kwa mwili huu ambapo hii ndiyo hali halisi ilivyokuwa.

Wasanii mbalimbali wameweza kujitokeza ikiwepo kubeba msalaba na kusindikiza gari lililokuwa limebeba mwili wa marehemu na sehemu kubwa ya watu wakiwa wanataka jeneza lishushe kwenye gari na kubebwa na wao.

Raia hawa waliojitokeza kwa maelfu walikuwa wakiimba nyimbo mbalimbali za kuonyesha ni kwa jinsi
gani walikuwa wakimpenda marehemu
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates