Zanzibar Light Entertainment Organization

9:16 AM

Beach soccer itakuwa beach ya serena na mpira wa miguu utakuwa maisara.#Ngome kongwe show# zitaanza jioni saa kumi mpaka saa kumi na mbili then break zitaanza tena saa mbili na nusu mpaka usiku, #sultan king#, #rico single#, #cholo ganoun#, wengine tunazungumza nao

By 

31 may 2013 siku ya leo Ijumaa kuanzia saa 1 usiku hakuna matata band watashusha kal

9:06 AM

31 may 2013 siku ya leo Ijumaa kuanzia saa 1 usiku hakuna matata band watashusha kali za pwani zaidi mduara arabic,india music ata copy za mbele za rnb na mikato kibao mipyaa Coconut beach chukwani kwenye usiku wa watu wa pwani kwa kiingilio cha shilingi 3000 tu usiikose wadada wa town na mabrother wa town itakuhusu kumbuka bond entertainment na bomba dj iko kwa ajili yako

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates