VIDEO-NEY WA MITEGO FT DIAMOND - MUZIKI GANI

9:40 AM

Picha: Uzinduzi wa BBA “The Chase.” Nando & Feza Kessy waiwakilisha TZ

5:20 AM

Huddah Monroe, socialite na Boss Lady akiwakilisha properly na bendera ya Kenya

Mwakilishi wa Tanzania Fedha Kessy akiwasalimu mashabiki wake kwa kuwapungia bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big Brother The Chase 2013 Ik.

Mtangazaji IK akifanya mahojiano na Patna wa Mwakilishi wa Tanzania Mshiriki kutoka Ghana Elikem

Mtangazaji IK akimtambulisha rasmi mshiriki kutoka Tanzania Fedha Kessy kwa Patna wake Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi

Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Kenya Stella Mwangi a.k.a STL akitoa burudani huku akipewa sapoti na Manager wake.

Mwakilishi wa Tanzania Nando akihojiwa na Mtangazaji wa kipindi hicho Ik wakati wa uzinduzi wa show hiyo. Kushoto patna wa Nando Mshiriki kutoka Namibia Cleo.

ENJOY.................!!!!!!!!!!

5:14 AM

MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAR 27.5.2013 VICHWA VIKUBWA LEO WALIOFELI FORM 4 WAULA,PAA LA UWANJA WA NDEGE PEMBA LINAVUJA NA CCM KUMKWAMISHA LWAKATARE?

3:41 AM


.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
7 bc1433 47ad94 8bbe81 d20b2
2 275d45 000616 f305f

YALIYOJIRI KWENYE USIKU WA HIP HOP DAR LIVE TAZAMA PICHA ZA MSHINDI ALIYESHINDA MIC KING 20

3:36 AM
Farid Kubanda 'Fid Q' akionyesha ujuzi stejini.
Nay wa Mitego akiwachizisha mashabiki wa Dar Live.
Msanii Kala Jeremiah akiwarusha wapenzi wa burudani waliofurika Dar Live.

Mkali wa 'Dear God' akizidi kuwapa raha mashabiki.
Joh Makini akiwapa raha wana Dar Live.
Joh Makini akinata na beat.
Stamina akipagawisha nyomi ndani ya Dar Live.

Stamina on the stage.
Nyomi iliyofurika ndani ya Dar Live.


DJ Choka (kushoto) akimpatia tuzo ya Wimbo Bora wa Hip Hop Mwanamuziki Kala Jeremiah.
Suma Mnazareti (kushoto) akimpatia tuzo ya Mwanamuziki Bora Chipukizi wa Hip Hop, Young Killer.
Prodyuza All Baucha akimkabidhi Kiboya tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hip Hop (Legendary) kwa niaba ya Joseph Haule 'Profesa Jay'.
Meneja wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akimkabidhi ufunguo wa gari mshindi wa The Vodacom Mic King 2013, Martin Fundi. Katikati ni Meneja Matukio wa Dar Live, Abdallah Mrisho.
Martin Fundi akifungia mlango wa gari lake.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates