Home » Archives for 05/18/13
MAMBO VIPI WA DAU WA MUSIC WA KIZAZI KIPYA ZANZIBAR? NAPENDA KUWATARIFU NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWAMBA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 19/5/2013 YANI KESHO KUTAKUWA NA MECHI YA HISANI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TIMU YA WASANII NA TIMU YA WALEMAVU WA MASIKIO YANI VIZIWI. ITAKAYO CHEZWA SAA 10 JIONI
6:21 AM
•
MAMBO
VIPI WA DAU WA MUSIC WA KIZAZI KIPYA ZANZIBAR? NAPENDA KUWATARIFU NDUGU
JAMAA NA MARAFIKI KWAMBA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 19/5/2013 YANI KESHO
KUTAKUWA NA MECHI YA HISANI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TIMU YA WASANII NA
TIMU YA WALEMAVU WA MASIKIO YANI VIZIWI. ITAKAYO CHEZWA SAA 10 JIONI
KATIKA UWANJA WA AMANI NDANI KINGILIO NI BURE!! MGENI RASMI NI MAKAMO WA
KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIF KHAMAD. WOTE MNA
KARIBISHWA MUSIKOSE..
msikilize Ricco Single hapa
http://snd.sc/13vP8bE
WEUSI KUMTOA MAMA YEYOO NJE YA BOX MAISHANI
5:54 AM
•
Jumapili hii ni siku muhimu sana kwa Weusi na mashabiki, kwa sababu ndio
siku watakayomtoa Mama Yeyoo nje ya box kila mtu amuone, noooumer
sssanaaaa, lakini pia haitakuwa kama ilivyozoeleka kwa wengi kuchana juu
wimbo au juu ya beat chorus, ila siku hiyo itakuwa ni full live band
ambayo itakuwepo pale kwa ajili ya kupiga nyimbo zao za hiphop. Ben Pol,
Barnaba, Petter msechu wote ndani..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)