KAMA ULIMISI ALICHO ANDIKA HAMMER BAADA YA KUMPIGA MKEWE SOMA HAPA

8:43 AM
Mambo vp waungwana??

Ningependa kutumia muda huu kuandika kilichopo ktk moyo wangu na kifike kwa jamii yote iliyonizunguka ,

kikubwa zaidi nikuomba msamaha kwenu juu ya tukio nililolifanya wiki iliyopita, napiga magoti mbele yenu na kukiri kuwa nimewakosea nawaomba mnisamehe,

hata km ndani nimeshasamehewa lkn itakuwa siuungwana km sitawaomba msamaha wakubwa zangu pamoja na wadogo zangu 7bu najua nilichokifanya kiliwauma na kuwakera sana sana mpaka nashindwa sema ni sana kiasi gani, lkn sitochoka kuomba msamaha kwenu na sitarudia tttena, ,, kila mtu alisema lake hata km alikuwa hajui wengine walipata kupendezesha vipindi vyao kwenye maradio na mablog pamoja na magazeti, mtihani wangu ulikuwa biashara kwao lkn simlaumu yyt kwani nilifanya kitu cha kijinga na kisichokuwa na ubinadam,,
c vibaya pia nikijiita mjinga, kwa 7bu naweza nukuu maandiko yanayosema( HASIRA HUBEBWA NDANI YA KIFUA CHA MJINGA) siku zote maandiko hayakosei 7buNdio tunayoyafuata, lkn pia. Ninavojua muungwana ni kujitambua ulipokosea na kuomba msamaha kwani ukiomba msamaha hata mungu hukupa radhi zake nami niko mbele yenu naomba msamaha tena ,kwa kweli ni kipindi cha wiki moja iliyosheheni majuto na maumivu ya moyo na kuikosa amani , nilikuwa nahisi dunia yote imenielemea niliwaza vingi sn tena ni vibaya sn ila wife wangu alikuwa mstari wa mbele kunipa moyo hata km nilimkosea , roho ilikuwa inaniuma sana kuona niliemkosea anakuwa msaada kwangu kwa kila kitu na ninamshkuru kwa yy kunisamehe naamini wapo wachache sn wenye moyo km wake , ama kweli hasira hasara na majuto ni mjukuu 7bu yanakuja mwishoni kabisa Sikufanya kitendo kizuri mbele ya walimwengu mpaka mbele ya mungu lkn ss nataka niwe mpya kabisaaa. Mwisho kabisa shukran kwa kila alienisamehe na atakae nisamehe
nataka ktk kichwa chako ww unaesoma ujumbe huu kubaki kauli

NEW TRACK ; CANAL FT MAMEN WOTE & HUNTER B -HANIFAI

6:31 AM

TRACK- SHAMY FT CHABY SIX & SULTAN KING- NIKWAMBIE

6:29 AM

NEW TRACK: KIRA KIRAMI FT IBBO SPAZ-SHOW LOVE

6:26 AM

NEW TRACK; TREEP M FT LAKI - KAWA

6:17 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates