NEW TRACK: YOUNG KILLER FT. STAMINA & QUICK ROCKA - JANA NA LEO

1:32 PM

MASHABIKI WA DIAMOND, PICHA ZAKE HIZI KUHUSU SAFARI YAKE YA UINGEREZA, AMEENDA KUFANYA SHOW LONDON. ENJOY

1:26 PM
#WhiteFan #Catal headin to #London #Uk #NatakakulewaTour


Akiwa Kwenye Ndege [ Snakes In The Plane]


PICHA ZA JAY Z, BEYONCE NA MTOTO WAO BLUE IVY KWENYE GOODTIME HUKO UFARANSA

1:22 PM
Wakati ile Event kubwa ambayo imewakutanisha wale mastar ambao wametoklezea katika orodha ya Time ya wati 100 wenye influence zaidi duniani ikiwa imefanyika huko New York Marekani na Rapa Jay Z akiwa ni moja kati ya watu wakubwa waliomiss tukio hili, Tayari imeshafahamika ni kwasababu gani mkali huyu hakuwawepo katika tukio hili kubwa.

Jay Z pamoja na Beyonce na mtoto wao Blue Ivy, kwa mara nyingine kati ya zile chache sana ambazo zimewahi kutokea, wameonekana waziwazi huko Paris Ufaransa wakiwa wanapata msosi wa mchana katika mgahawa mmoja maafuru, ikiwa ni Tym ya pamoja ya familia mbali na majukumu mbalimbali ambayo mara nyingi huwa yanawaweka mastar hawa mbali mbali.

Enjoy the pictures;




HUYU NDIO KIJANA ALIYEFUKUZWA HUKO SAUDI ARABIA KUTOKANA NA KUWA MTANASHATI KUPITA KIASI.

1:17 PM
Huyu ni Omar Borkan Al Gala, mwigizaji na pia mpiga picha wa huko Dubai ambaye kwa mujibu wa taarifa, yeye pamoja na wenzake wawili wamefukuzwa huko Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano mzuri kupitiliza (Yaani ma-handsome kupita kiasi) ili kuepusha kuwaingiza katika tamaa wanawake ambao hushindwa kujizuia kuwashobokea.



Omar alitolewa na maafisa wa polisi na kunyimwa kuhudhuria katika tamasha ambalo hufanyika kila mwaka nchini humo ambalo huusisha mbio za Ngamia, Janadriyah Festival ambalo kwa sehemu kubwa huhudhuriwa na matajiri, na baadhi ya vyanzo vya taarifa vinasema Omar alitolewa kutokana na mualiko wa msanii wa kike maaruku kutoka Falme za Kiarabu ambaye walihofia angeweza kutengeneza mahusiano naye.... na wengine wakisema ni hofu ya wakubwa kuibiwa mademu wao. 


VIDEO YA MADEE --SIO MIMI INASEMEKANA KUCHOCHEA USAGAJI::Inaonesha baadhi ya wasichana wakinonyana ndimi

1:08 PM

 

ANGALIA  HII  PICHA HII HAPA

madee 2

BEHIND THE SCENES YA SEAN KINGSTON; VIDEO YA BEAT IT FEATURING WIZ KHALIFA & CHRIS BROWN

1:00 PM

MSANII JAGUAR TOKA KENYA ANUNUA NDEGE BINAFSI

12:28 PM




Jaguar anaefanya vizuri kwenye muziki wake huko nchini Kenya na Africa kwa ujumla inasemekana he had purchased ndege yake hiyo binafsi siku za nyuma kipindi cha kampeni za uchaguzi nchini Kenya na ameshaitumia mara kadhaa ... Jaguar ambae hivi karibuni ameachia single yake mpya inayojulikana kama KIPEPEO inasemekana amenunua ndege hiyo ambayo pia ameshaipa jina lake, yaani AIR JAGUAR ...
Jumamosi moja katika uwanja wa ndege wa Wilson Airstrip uliopo nchini Kenya, Jaguar anasemekana kuitumia ndege hiyo inayopandisha abiria sita kwenda kustarehe huko Great Lake Resort, Niavasha akiwa na baadhi ya wasanii wengine …

QUICK ROCKA FT NGWAIR & SHAA-MY BABY #COMING SOON

12:23 PM

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates