PICTURES ZA MATUKIO NDANI YA BOTANIC

10:35 AM


























BIDII YETU ART GROUP

10:11 AM
Bidii yetu wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kutembelewa na chiwileinc maeneo ya darajabovu





NEW TRACK: EMMA SCORE FT MARLEY LIMA - HAPPY DAY

9:49 AM

NEW TRACK: BUYUBAY FT TUNDA MAN - MAPENZI UTATA

9:42 AM

NEW TRACK: WIGGO - USIONE KIMYA

9:40 AM

STREET DANCE NDANI YA MAGEREZA HALL LEO 17/ 03/ 2013

9:37 AM

NEW TRACK :NAY WA MITEGO FT. DIAMOND - MUZIKI GANI

8:03 AM

LYRIC:NEY WA MITEGOFT DIAMOND _MUZIKI GANI.

7:53 AM
ARTIST: NEY WAMITEGO FT DIAMOND
PRODUCER: MR TOUCH
CHORUS
Hivi nyi ma mc mnachoimba kitu gani, mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani (diamond).
Hii no hip-hop h.o.p muasisi wa burudani, tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane Pua nyumbani (ney)  X2

DIAMOND

Hata bibi yangu mi aliniambia , mwanamke anahitaji kubembelezwa
Kupetipeti matunzo pia, ukienda rafu utampoteza,
Muziki ni mfano wa binti muzuri,
Na ndio maana namtunza kwa   vazi na uturi

NEY WA MITEG

Aaah piga kimya, we ndo haufai kabisa hauna maana
Wabana pua kila siku mnarogana, bibi yako alikuambia muziki ni kama binti
Mbona unawachezea unawatema kama big g
Mara wema, mara Jo keti, mara Naj, mara Penny, je mnafanya mziki mpate mabinti

DIAMOND

Uuuhhuuuu, hata wazee wazamani, walishasemaga kazi na dawa
Chamuhimu jukwaani, ni kuhakikisha wanapagawa,
Kwa michezo ya kuringa ringa  ndo huwa wanadata
Badilika usiwe mjinga, utawakamata

CHORUS

Hivi nyi ma mc mnachoimba kitu gani, mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani (diamond).
Hii no hip-hop h.o.p muasisi wa burudani, tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane Pua nyumbani (ney)  X2
 
NEY WA MITEGO

Muziki wenu ushirikina ndio umetawala, q chilla analalama anasema umemroga
 Mganga wako aliekutoa umemkimbia hujalipa,  bila skendo za magazeti basi huskiki

DIAMOND

Mi ni mti wenye matunda, milele siogopi kupigwa mawe
Ubaya wenu wengi kayumba, elimu mliitupa sandakalawe

NEY WA MITEGO

Bado hujanishawishi, bongo fleva inanipa kichefu chefu
Kwanza nyie malimbukeni wa umaarufu
Mnalenta maringo mpaka kwa mashabiki , Wabana pua nyie watoto sio riziki,
Mnavaa nguo za dada zenu, zinawabana mapaja nyie makaka duu
Aah nyie watoto mchele mchele , kwenye show viuno mbele mbele X2
Nimewanyamazisha, brazameni vipi  we bado unabisha

DIAMOND

Mi nnamengi nnayajua, ila we ni mtemi utaanzisha utata
Michezo yenu kutoboa pua, bora ninyamaze usinipige mbata

LYRIC:NIKI WA II,JOH MAKINI FT G WARA WARA_NJE YA BOX.

7:51 AM
 House of music A city in tha house
Mpeleke joh makini nikki wa pili wara wara
Mpeleke Nje nje nje ya kumi na nane
Nje ya kumi na nane
Mpeleke Nje nje nje ya kumi na nane
(VERSE1: Niki wa pili)
Mungu nijalie demu mpenda pesa
kila siku nipigane kuwa bakhresa
Asinipende mimi apende verosa
Wana wamegewa wengi  ndio kitu wamekosa
Malighafi ya suruali si boxer
Siri nyingi mahali dingi alikosa
Demu wa  shida na raha na misoto sana
Huyo demu hanifai changamoto hana
Ikiwa demu wako anapenda vidogo
Uwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo
Demu amsifie sana bosi wangu
Nikasirike kesho nijenge kiwanda changu
Sitaki demu wa kitanga jioni moja kanga
Tayari amejipanga kwa mabusu  mangapi
Demu nayemtaka manka wa kichaga jioni anaulizaga umeingiza sh ngapi
(CHORUS: G –Nako)
Mpeleke nje nje nje nje ya kumi nane
Nje nje nje nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje nje nje nje   ya box  nje ya box
Nje ya kumi na nane
(VERSE2: Joh Makini)
Namtoa nje ya box ndio nampecha ndani ya box
Aulizie ferrari jo ni kitu gani verosa
Demu boda boda kwenye bajaj anasinzia
itaua kipaji na uwezo wa kufikiria
Asinipende kama joh anipende kama stars
Super kabisa  ile gumzo ya kitaa
Hili nikaze asinilemaze nikadumaa
Sio demu anayehitaji kuwa na ndoa
Bali mwanamke anayehitaji mahitaji ya ndoa
Na sheria mikononi simpgi demu
Nachukua sheria kiunoni joh let me kill them
Asiyefanya kazi ndio neno lenye uhai
Asishike neno ashike maneno lenye maslahi
My lips don’t shine when yo hips don’t lie
Sio wa lift vocha  chips mayai
Demu cheap me hanifai
Habari gani afanye niwze milioni
Kumuonga laki mbili tabu nisione
Ukiona mdundo ni mapene ya mweusi
Sio miaka thelethini na tano driving school
(CHORUS: G –Nako)
Mpeleke nje nje nje nje ya kumi nane
Nje nje nje nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje nje nje nje   ya box  nje ya box
Nje ya kumi na nane

HII NDO NYUMBA ANAYOISHI MAKAMU WA RAISI NCHINI KENYA WILLIUM RUTO YENYE THAMANI YA MILLION 450 ZA KENYA

7:45 AM




























Nyumba hii inathamani ya 450 Million za Kenya ambavyo ndani ya nyumab hiyo kuna Office block, garage, swimming pool, gazebo, generator house, staff residence and a comptroller's unit

NEW VIDEO RADIO & WEASEL_ MAGNETIC.

7:38 AM

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates