AFRO BEATS VS BASHMENT

8:28 AM

NEW TRACK- DINA BROWN - NIMEPATA

8:27 AM

VIDEO- OFFSIDE TRICK FT BABY J - USINIPE

8:23 AM

NEW TRACK: Sajophin ft Godzila-mjasiliarhymes

8:06 AM

NEW TRACK: JAFARAI FT NGWAIR BLAH BLAH

8:04 AM

NEW TRACK: BARAKA ABAYO FT R.O.M.A & CHEGE - BELOW

8:01 AM

NGOMA YENYE UTATA HII HAPA- DIAMOND FT TANZANITE -KAMA UPENDO

4:34 AM

NEW TRACK; JUX - NIWE NAWE

4:08 AM

SIKILIZA MADINI YA TOWN DIAMOND PLATNUMA ALIVYOFUNGUKA KUHUSIANA NA ISHU ZA KUVUJA NGOMA ZAKE NA NGOMA NYINGINE AMBAYO IPO AMEMSHIRIKISHA MBAYA WAKE TANZANITE LAKINI NAE TANZANITE AELEZEA HIYO NGOMA LAKINI PIA ISHU NZIMA YA USTDH YAHYA MGANGA WA DIAMOND AFUNGA NA DIAMOND NAE ANENA ILA SIKILIZA PIA ISHU YA CHEGE NA RECHEL

4:04 AM

VIDEO YA NICHEKECHE TOKA KWA ISMILE WA KICHEFCHEFU COMING SOON........

2:24 AM
Nichekeche video  coming soon..........
Mkali toka zanzibar ismail mustafa a,k,a smile wa kichefchefu toka Vanilla classic anataraji kuachia video ya ngoma yake ya nichekeche Akiongea na chiwileinc toka pande za DSM amesema kua   "video iko tayari kazi imefanywa na MAC MEDIA  hapa naongea na wewe video mnayo mkononi ila kuna mambo naweka sawa kabla ya kuichia hewani wadau wakae tayari kupokea video ambayo kiukweli sikutegemea kama ingekua ivi video ni kali sana mi nimefanya yngu directr pia amefanya yake na video modls  pia wamefanya"

Alimaliza Ismail wa kichefchefu
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates