VIDEO - YOUNG D BOMA LA UTETE

12:25 PM

OMARY OMARY AFARIKI DUNIA

12:23 PM
MSANII nyota wa miondoko ya Mnanda 'Mchiriku', Omar Omar, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Omar Omar aliyetamba na nyimbo mbalimbali ukiwemo ule maarufu wa 'Kupata ni Majaliwa amefariki leo kwa maelezo ya dada wa marehemu Omary alikua anaugua TB kwa mda mlefu ila ilikua anaelekea kupuna adi juzi alipoanza kugua malaria ambayo yamechukua Uhai wake,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,   R.I.P Brother

VIDEO -JUSTIN BIEBER FT NICK MINAJ - BEAUTY AND A BEAT

12:16 PM

VIDEO - SOLANGE _LOSING YOU

12:12 PM

NEW TRACK -CHABY SIX - BINT BARAKA

3:29 AM

Video: K24 TV ya Kenya yaanzisha kipindi maalum cha kufundisha style za kufanya mapenzi;darasa linaendeshwa na wasichana..angalia hapa.

3:24 AM







K24 TV ya nchini Kenya ambayo ilianzisha kipindi kinachoitwa Connect ;Mombasa Raha position kwa lengo la kuzunguzia maswala ya mahusiano ya kimapenzi kama vile uchumba, ndoa namengine mengi kama zinavyofanya radio nyingi za hapa bongo mida ya saa nne hadi sita usiku.

sasa K24 TV wamevuka mstari na kuanza kufundisha mitindo mbalimbali ya kufanya mapenzi na jinsi ya kufanya kwa usahihi zaidi kupitia kipindi hicho.
Katika kipindi hicho kinachoendeshwa na msichana ama unaweza kumuita mwanamke anaeelezea aina ya style, anapewa kampani na mwanadada mwingine ambae anaact kama mwanaume ili kutoa maelekezo kwa vitendo.
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema katika hii dunia itafikia hatua ngono pia itawekwa kwenye orodha ya basic needs siku za usoni, lakini kwa sasa hivi ipo kati ya mahitaji muhimu sana kwa baadhi ya watu ukishakuwa na basic needs malazi mavazi na chakula

Octopizzo afunguka kama yeye ni Freemason ama vipi!

3:09 AM

Inawezekana sasa hivi baadhi watu ni kama wamechoka kusikia freemason stories, lakini ukweli ni kwamba bado zinawasumbua watu wengi hasa mastaa duniani ama wanasiasa maarufu, na ukizingatia idadi kubwa ya watu wanaonekana kuzielewa vizuri zaidi alama zinazosemekana kuwa za imani hiyo.

Msanii maarufu na mwenye mafanikio sana wa nchini Kenya na sasa Afrika inamfahamu Octopizzo amekuwa kwenye tetesi za kuwa mfuasi wa Illuminati kama inavyojulikana zaidi Kenya ama Freemason, lakini hivi karibuni ndo kawashtua zaidi watu baada ya kutoa video yake ya wimbo wa ‘Swag’ ambao umejaa ishara kadhaa zinazosemekana kuwa ni za Freemason.

Katika video hiyo kuna Pyramids zikiwa zinawaka moto zikiwa kwenye background, na pia jichoni akiwa amejichora alama ya pembe tatu na ishara nyingine nyingi, Video hiyo imeongozwa na director maarufu Enos Elik na ndani kashirikishwa msichana mzuri Amina. 

Katika interview aliyofanya na mtangazaji wa kipindi cha Mambo Mseto maarufu kwa jina la Mzazi M. Tuva, Octop aliulizwa kuhusu tuhuma hizo za u-freemason na sehemu ya maswali na majibu yao yalikuwa hivi:

Tuva: Jo! Watu wameongea.

Optopizzo: wamesema nini?

Tuva: wameongea sana, wanauliza hizo ni nini umechora kwa sura?

Octopizzo: kwani ni wapi iliwekwa official kuwa triangle ni ya Illuminati(Freemason)?

Tuva: Kwa hiyo wewe ni member au sio member?

Optopizzo: Mi ni member wa Sir God.

Hapo atakuwa ameeleweka Octoppizo, mengine labda ni yake ya moyoni.

Octopizzo ft amina _swagg

2:55 AM

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates