NEW TRACK; SUMA LEE - HAWA

8:00 AM

DJ CHOKA ft. M-Rap, Gosby, Vanessa, Mabeste & Deddy - PRESS PLAY

7:57 AM

Prezzo ft Canibal - My City My Town [Official Video]

7:51 AM

Game afunguka kuhusu G-unit…na uwezekano wa kufanya kazi na Jay Z.

7:45 AM

Akiwa kwenye promotion ya mzigo wake mpya ambao umeingia kitaa juzi Dec 11 “Jesus Piece”, mtu mzima Game amezungumzia mambo kadha wa kadha.

Akipiga interview na BET, alipoulizwa kuhusu beef lake na Jay Z na 50 Cent mtu mzima huyo amezungumza uwezekano wa kufanya kazi na Jay Z na kufafanua kurudi upya kwa G-Unit ile ya wakati ule akiwemo na yeye pia.

“Unajua kiukweli sikuwa na beef kubwa na Jay Z kama ilivyokuwa inachukuliwa…nilichokuwa nataka ni kale ka ugomvi tu ambako nilitaka kawe kiuandishi zaidi…nilijaribu naye pia aliweza kujibu kwenye lines za hapa na pale…lakini hizi ni zama mpya name ni mpya pia…nimekuwa mtu mzima kidogo…naamini siku moja tutafanya mkono wa pamoja kama itawezekana….hata ikishindikana sio ishu coz niko na albam ya tano sasa na nachokitafuta sasa kufika mbali zaidi.
Jay Z sio msanii pekee aliyekuwa na beef na Game…kwa mujibu wa Game mwenyewe…yeye na 50 Cent wanaweza kuja kufanya kazi pamoja siku za mbeleni na pia kuna uwezekano wa G-Unit kurudi tena.

HAPPY BIRTHDAY ABDU KIBA

7:42 AM

AMA G NENDA SALAMA ( Officiall Video)

6:12 AM

OMEGA FT ALONEY- &KUNTA KINTE-WoLoLo! WoLoLo

6:06 AM

Shareezy Ft Amina - My ONLY

6:04 AM

SaYnAg--Ft DiAmOnd---HiSiA zAnGU..

6:02 AM

NEW TRACK: MICHAEL TOWN - BADO NAKUHITAJI

5:57 AM
  Song- bado nakuhitaji
Artst- Michael town
    Studio- jupiter records
Producer-Aloney-m

NEW TRACK - SMILE__NICHEKECHE

4:59 AM

NEW TRACK- TYGA,MUSSA CHOMBO & FANKISS-RACK CITY REMIX

4:54 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates