Diamond Platnumz - Nataka kulewa

11:17 AM

Ray C amshukuru rais Kikwete kwa msaada wa matibabu...mama yake asema waliosema wanamchangia hajaona hata shilingi !

11:11 AM
Ray C akimshukuru rais Kikwete Ikulu

Rehema Chalamila a.k.a Ray C amemshukuru raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kwa msaada wa matibabu yaliyomsaidia kwa kiasi kikubwa kupona maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.
Mwana bongo fleva huyo aliyevuma na jina la ‘kiuno bila mfupa’ pamoja na mama yake mzazi walifunguka wakati wakiwa katika maeneo ya Ikulu ya Tanzania na wakiwa na raisi Jakaya Kikwete wakitoa shukurani zao za dhati face to face.
Ray C aliyeooneka akiwa na afya inayoridhisha kwa kulinganisha na hali mbaya ya kiafya aliyokuwa nayo katika siku za hivi karibuni, alimshika mkono J.K na kumshukuru huku akisema yeye ndiye baba yake aliyemponyesha.
Mama yake Ray C naye pia alizungumza na kumshukuru Raisi kikwete kwa msaada wake mkubwa na moyo wa upendo. Mama Ray C aliweka wazi kuwa wale ambao walisema wanamchangia mwanae ili aweze kupata matibabu hajaona hata shilingi yao bali aliyemsaidia ni Rais Kikwete.
‘Sogeasogea hitmaker’ ameahidi kuwa atarudi rasmi kwenye game na kuwaburudisha mashabiki wake ambao kiukweli wamemmiss sana.
Hata hivyo Mwanamuziki huyo bado yuko chini ya uangalizi maalum akiendelea na matibabu ikiwa ni muendelezo wa msaada alioupata toka kwa Raisi.
Leotainmenttz.com Tunakuombea sana Ray C upone kabisa na urudi kwenye game ili kuongeza safu ya wanamuziki wa kike ambao ni wachache kwenye level za juu hapa bongo, tunamshukuru Rais wetu Kikwete kwa msaada wake.

Sikati Tamaa (Movie Trailer)

11:04 AM

Point 7 ft. Jos Mtambo & Q Chief - mke wa mtu

10:56 AM

R.I.P SISTER ASHA

10:53 AM
Tulikua kimya toka tarehe 28/11.2012 baada ya kuondokewa na dada yangu kipenzi asha ila tumerudi tena kwa speed ile ile kuhakikisha unapata taarifa zote za kiburudani kupitia chiwileinc Asante kwa kuendelea kutembelea chiwileinc.blogspot.com,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates