KAMANDA WA POLISI ATHIBITISHA:SHARO MILLIONEA AFARIKI DUNIA

12:51 PM

  Kuna habari kuwa msanii HUSSEN MKETI aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika matangazo kwa style ya aina yake amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Tanga. 
 Kamanda wa Polisimkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharobaro, baada ya kupata ajali katika kijiji cha Lusanga, Muheza ambapo pia ndio nyumbani kwao
R.I.P SHARO MILLIONEA 
 MSIKILIZE KAMANDA WA POLISI MKOA WA TANGA  AKIONGEA HAPA

NEW TRACK: DIDAH - NAOGOPA KUPENDA

11:58 AM

HABARI ZISIZOTHIBITISHWA SHARO MILIONEA AMEFARIKI DUNIA

11:53 AM
R.I.P Sharo milionea
Msanii mahiri wa uchekeshaji na mwanamuziki wa Bongo Fleva Sharo Millionea amefariki katika ajali ya gari huko Muheza mkoani Tanga. Tutaendelea kuwajulisha kadiri tutakavyopata habari zaidi. Mungu ailaze roho ya marehem maali pema peponi Ameeen..................

HABARI ZILIZOTUFIKIA IVI PUNDE AMBAZO SIO RASMI ZINASEMA MSANII SHAROMILIONEA AMEFARIKI DUNIA USIKU HUU KWA AJARI YA GARI AKIELEKEA MKOANI TANGA

11:35 AM
Sharomilionea

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates