DIAMOND NA PETE YA UCHUMBA KWA NAJMA

12:57 PM

DODOSA:Kuna habari zisizo rasmi



kuwa Leo Diamond Anamvisha
Mpenzi wake Mpya Najma Pete ya
Uchumba....leo ni siku ya Kuzaliwa
kwa Najma kufikisha miaka 21 ..So
Diamond atatumia Fursa Hiyo
kumvisha pete ya uchumba na
kuuambia Ulimwengu kuwa wako
pamoja baada ya tetesi za muda
mrefu.

MARIAM KHAMIS 'PAKA MAPEPE' KUZIKWA KESHO MAGOMENI

12:55 PM


DAR ES SALAAM, Tanzania
MAZISHI ya aliyekuwa mwimbaji mahiri wa taarabu wa nchini Mariam Khamis ‘Paka Mapepe’, yanatarajiwa kufanyika kesho Jumatano, Magomeni Makuti wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Mariam (pichani) ambaye hadi anafariki alikuwa ni mwajiriwa wa TOT Taarab, alimefariki alfajiri ya kuamkia leo kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kifo chake kikitokana na matatizo ya uzazi, ingawa mtoto wake yu salama.
Kwa mujibu wa Baba Mdogo wa marehemu anayetajwa kwa jina moja la Sembuli, alisema kuwa, wamefikia uamuzi wa kumzika marehemu kesho, baada ya kuombwa na Mkurugenzi wa TOT Kapten Komba kufanya hivyo ili wapate kuhudhuria mazishi ya mfanyakazi mwenzao.
Kundi la taarabu la TOT, liko mjini Dodoma kwa hivi sasa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ambapo msiba wa marehemu huko nyumbani kwa baba yake mkubwa Magomeni Makuti, Mtaa wa Ndovu Bar, yanakotarajiwa kufanyika mazishi hayo.
Mariam Khamis alitamba sana na wimbo wa Mapaka Mapepe alouimba akiwa na Melody, kiasi cha kumpa jina hilo la utani, kabla ya kujiunga na Zanzibar Stars, kisha Five Stars na hatimae TOT.
Wimbo wake wa kwanza kurekodi na TOT ulikuwa ni ‘Sidhuriki na Lawama’ ambao unatamba sana hadi sasa anapopchukuliwa na mauti yaliyoelezwa kutokana na Kifafa cha Uzazi alichokumbana nacho baada ya kujifungua kwa operesheni kubwa.
Wasanii mbalimbali wa muziki nchini, hususani wa Taarabu, wameelezea kustushwa na kifo cha Mariam, ambapo Habari Mseto ulishuhudia waimbaji na mashabiki mbalimbali kwenye Hospitali ya Muhimbili, ulikohifadhiwa mwili wa marehemu.

KWA WALE MNAOPENDA KUTONGOZANA FACEBOOK ACHENI HIZO HEBU JIONEE HICHI KISA NDIO UTAELEWA NINI NAMAANISHA

12:52 PM


  
Mpendwa  msomaji,  huyu  ni Nancy Mitisa  aliyekumbwa  na zali  la kuombwa Tigo......
Jambo  hilo  lilimkera,  lakini braza  huyo  aling'ang'ania  apewe  au  atafutiwe......
Varangati  lilienda  mbali zaidi mpaka  wakaanza  kupeana matusi ya nguoni.......
Haya ndo  mabishano yao:
 ----------------------------------------------------------------
KABLA YA MABISHANO YAO, HUU  NI  USHAURI WA  NANCY KWA  WANAUME.
-------------------------------------------------------------------------
(1) Ni kawaida kwa wanaume wetu kumtamkia mwanamke "I Love You" katika email, text message au post ya kwanza tu. Umempendaje mwanamke ambaye humfahamu na ndiyo tu umeanza kuwasiliana naye? 
Tabia hii inakera na mnaishia tu kujidharaulisha na kujishushia hadhi. Na kwa wazungu ndiyo kabisa wanaishia tu kushangaa!!!

(2) Ni hatari sana kuacha namba zenu za simu hovyo hovyo mitandaoni. Namba hizi zimeandikishwa na ni utambulisho wenu. Ni nini kinachowafanya kuziacha namba hizo kila sehemu mitandaoni? E-mail moja tu tayari mtu umeshatoa namba ya simu - call me, call me. 
Unamjuaje huyo unayempa hiyo namba yako? Ni nini kinachokufanya uamini kwamba kweli mwanamke wa kweli na heshima zake atachukua simu na kumpigia mtu ambaye hamfahamu; na ndiyo kwanza tu wameanza kuwasiliana?

Acheni kuacha namba zenu za simu hovyo hovyo mitandaoni. Ni hatari !!!

(3) Acheni pia kutumia email zenu za kazini. Vipi kama huyo unayemwandikia ataamua kuwasiliana na mwajiri wako na kulalamika kuwa unambugudhi? 
Kumbuka kuwa huyu ni mtu ambaye mnawasiliana mtandaoni tu na humfahamu. Wewe umekazania kutaka kumpiga tigo, vipi akiamua kuzusha zali kwa kuwasiliana wakubwa wako wa kazi huku akitishia kwenda mahakamani? Utaishia kufukuzwa kazi bure. Kuweni waangalifu kaka zangu !!!

(4) Jambo linalonikera kuliko yote ni kuandamwa na wanaume wakitaka niwatafutie wanawake wa kupiga tigo. Mtu anakuandikia moja kwa moja akikwambia umtafutie mwanamke mrefu, mweusi kidogo, mnene wa wastani na mwenye matako makubwa, ku*** tamu nene na mku***  wa uhakika ili awe anampiga tigo.Mimi siyo "Pimp".

Jambo la kusikitisha zaidi ni kwamba wanaume wengi wenye tabia hii na wanaosumbua sana ni waume za watu na kwenye profile zao za Facebook wanaonyesha kabisa kuwa wameoa na wengine wana picha wakiwa na familia zao. Lakini bila aibu hata kidogo bado tu wanaandika wakitaka niwatafutie malaya wa kuwa wanapiga tigo. Wengine mpaka wanaahidi kunilipa. 


Nimekuwa mkali sana katika jambo hili ingawa wengine wanakuwa ngangari mpaka kufikia kiasi cha kugombana nami na kuniporomoshea matusi kama huyu mchovu anayejiita Robyn Roberts. Sijui kama ni jina lake halisi lakini nilikuwa mkali sana kwake aliponishupalia kuwa eti ni lazima nimtafutie mwanamke wa kuwa anapiga tigo kwa siri kwa sababu ana mke.
Ni tabia gani lakini hii jamani? Ni kweli mko desperate namna hiyo mpaka mnakuwa wawazi na bold kiasi hiki tena kwa watu ambao hamuwafahamu?
 Hamuogopi UKIMWI na haya mambo yenu ya tigo za siri huku mkiwa na wake na watoto huko majumbani mwenu?

Mazungumzo Yalianza Hivi....




Halafu Yakaendelea Hivi....



TOKA FACEBOOK

12:46 PM
LULU OSCAR UMETUACHA KWENYE MAJONZI MAKUBWA ULIPOTUTOKA USIKU WA JANA,MARA YA MWISHO TULIPOTENGENEZA NYIMBO YAKO KWA MARA YA KWANZA BAUCHA RECORDS MWEZI ULIOPITA NA KUWA NA MALENGO MAZURI YA KUWA MSANII BORA WA BONGO FLEVA NA KUFANIKIWA KUFANYA NYIMBO HIYO INAYOITWA "LULU WA UKWELI" LAKINI M/MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI INNALILAH WA INNALILAH RAJUUN....M/MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI....AMIN.
1Like · ·

MY EVERYTHING BY ALLI KIBA

12:30 PM

My Everything – Alikiba
Verse 1
Ilikua usiku wa jana asubuhi Nilipoamka….
Nikajikuta Nafuraha isio kifani….
Kidogo nilishtuka, SimuI ilivyoitaa….. Niliipokea

nikasikia analia…. Akashindwa hata kuongea…… Nikahisi msiba

ndio umemfikaa…

Akauliza Umelala? Ooh Baby nalia na mola…..

Nishateswa Sana na Penzi Nakosa Hata Raha….

Nahisi vibaya naona Nakupenda Sana…………..

(Chorus) Ooooobaiby u My Everything My Everything

Kila Nachofanya Kwa Ajili Yako My Everything

Hata Kama Mi Sina You My Everything My

Everything

Kupendana Kwa Sana u my Everything My

Everything (Wololowololo) U My everything my everything

( ". " ) My Everything….. My Everything

( ". " ) U My Everything….. My Everything

( ". " ) U My Everything….. My Everything

( ". " ) Hey u My Everything…..

Verse 2 Kweli anavyojiona kama yuko paradise…….

Anasikia raaaha mwili wake nikimshika……

Haitaji stress tena anataka tu furaha…… Nami

mwendo uleule staki mwangushaa….

Maumivu atakitenaa…………. Ooooh baby utojuta

kuupenda…… Hata mimi mapenzi oooh baby yashanitesa

sana…… We lia na mola walimwengu akileta

husda..

Mchana na lala usiku nafanya ibada…..

(Chorus)

OOoooobaiby U My Everything….. My Everything Kila nnachofanya kwaajili yako….. My Everything

Hata Kama Mi Sina…. U My Everything My

Everything

Kupendana Kwa Sana….. U My Everything….. My

Everything

(Ooooohhhoo) U My Everything….. My Everything ( ". " ) My Everything….. My Everything

( ". " ) U My Everything….. My Everything

( ". " ) U My Everything….. My Everything

( ". " ) Hey U My Everything….. My Everythng…..

( ". " ) U My Everything….. La Muja De Mivida

( ". " ) We nikila kituu… ( ". " ) Ooooou woowaaauaaa….. My Everything

( ". " )Hey U My Everything….. My Everything

(Wololowololo) Wolo….. (Wololowololo) Woloho

(Wololowololo) Wolo….. (Wololowololo) Woloho

(Wololowololo) Wolo…..
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates