Ommy Dimpoz aamua Kumsamehe Lord Eyes.Na Hivi Ndivyo alivyosema

12:52 PM

Ommy Dimpoz

Nyota wa muziki wa  kizazi kipya nchini Ommy Dimpoz amesema kuwa licha ya kutumia kiasi cha  shilingi milioni 5 kurudisha gari yake kwenye hali ya kawaida hawezi kumchukia msanii mwenzake Lord Eyez anayeshikiliwa korokoroni hivi sasa kwa tuhuma za kuiba vifaa kutoka kwenye gari yake.


“Nafahamu kuwa kuwa siruhusiwi kuzungumza lolote kwa kuwa suala liko Polisi,ninachoweza kukwambia  ni kuwa binafsi nimemsamehe Lord na wenzake, sababu huwezi kujua kuhusu kesho, nimepanga  kukutana naye na kumwambia hili jambo, najisikia vibaya lakini nashukuru kuwa gari yangu nimeshairekebisha na sasa ndiyo ninayoitumia tena licha ya kuwa nimetumiagharama kubwa” alisema Dimpoz.

BREAKING NEWS. AZAM YAMTIMUA KOCHA WAKE BORIS BUNJAK

10:35 AM
Kocha wa Azam FC mserbia Boris Bunjak ametimuliwa rasmi kuifundisha timu hiyo.

Taarifa rasmi nilizozipata kutoka ndani ya klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya VPL zinasema kwamba kocha huyo aliyesaini mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha Azam mwezi nane mwaka huu ametimuliwa na sasa viongozi wa klabu hiyo wapo katika harakati za kutaka kumrudisha kocha wao wa zamani Muingereza Stewart Hall.    

 Hatua hii imekuja siku mbili baada ya Azam FC kufungwa 3-1 na Simba katika mechi ya ligi kuu.

ZEE TOWN HIP HOP WITH ISON MWANAHARAKATI & TANGO RYMEZ Jr

10:06 AM
Tharau ,kwa Wasanii wa zanzbar , tume choka kufanywa kama vikatuni , sisi ndio wafunguaji wa show , tunapoenda kufanya kazi dar hatupati ubora unao stahiki , ngoma zao zina chezwa zaidi huku kwetu zakwetu kwao hazipigwi . Tumechoka
MEJJA_Most whanted. Mwambieni asidanganye vyombo vya habari
2Unlike · ·
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates