NIKKI WA PILI FT G-NAKO & JOH MAKINI _PEA (Officiall Video)

3:33 PM

Madonna achojoa nguo akiimba wimbo kwa ajili ya msichana wa Pakistani aliyepigwa risasi kichwani, ‘Why!’

3:19 PM
Madonna

The queen of pop Madonna ameamua kumsupport msichana Malala “Yousafzai” (14) aliyepigwa risasi kichwani na askari wa Taliban, ila support ya Madonna imekuwa ya aina yake ambapo aliimba wimbo wa Human nature kama dedication kwa msichana huyo huku akivua taratibu  nguo zake moja baada ya nyingine.
Madonna alikuwa katika concert ya tour yake ya MDNA Los Angeles, na Wakati anaendelea na tamasha lake ghafla alisimama na akasema “wataliban walimsimamisha na kumpiga risasi. Do you know the sickness and absurdity of this?” baada ya kuwaweka sawa audience akaongea kwa sauti ya juu “Support education!” kisha ukafata wimbo wa ‘Human by nature’ huku akivua nguo zake taratibu moja baada ya nyingine.
Kufuatia kitendo hicho alichofanya Madonna kinacholeta mkanganyiko hasa ukifikiria connection kati ya kuvua nguo na kusupport harakati za msichana aliyepigwa risasi na askari wa Taliban, watu wengi wamem-criticize sana Mwanamuziki huyo mkongwe. Mtu mmoja alitweet “Not the right way to pay Homage to Brave Malala. It’s a way to earn cheap self popularity,” na mwingine akatweet “Does Madonna understand how stupid and offensive cavorting in her bra on behalf of Malala Yousafzai is? The Taliban will love it.”
Malala Yousafzai, ni msichana mwenye umri wa miaka 14 ambae alipigwa risasi akiwa katika gari la shule kwa sababu aliandika kwenye blog kuhusu umuhimu wa elimu kwake, akipigania haki ya kupata elimu kwa watoto wa kike.

Sikiliza ujumbe wa Rama Dee kwa watanzania baada ya kuitafakari show ya Rick Ross,

3:11 PM
Wengi walitoa maoni mbalimbali baada ya show ya Rick Ross msanii ambae wengi hawakuamini kama kweli angeshuka bongo land kutoa burudani kwa watanzania, lakini kwa nguvu kubwa Clouds Media Group walifanikisha, na hapa kwa kweli wanastahili pongezi sana kwa kuthubutu kumleta msanii aliye kwenye pick ya ulimwengu wa muziki kwa sasa (they made it).

Lakini baada ya show iliyopigwa katika viwanja vya Leaders wengi walikuwa na maoni tofauti tofauti, wapo waliosifia na walioponda baadhi ya vipengele.

Rama Dee ambae ni mwimbaji mzuri sana wa R&B hapa Tanzania ambae kwa sasa yupo nchini Australia ameitumia ujumbe wa sauti kuhusu show ya msanii huyo wa kimataifa, ikiwa ameuelekezea kwa watanzania

HII NDIO ALBUM COVER YA KEYSHIA COLE...

2:55 PM
MWANAMUZIKI WA KIMATAIFA WA MIONDOKO YA RNB,KEYSHIA COLE AMEONYESHA COVER ART YA ALBUM YA TANO INAYOKWENDA KWA JINA LA ''WOMAN-TO-WOMAN''.ALBUM ITAKUWA SOKONI TAREHE 19 NOVEMBER.

ACE HOOD FT. TREY SONGZ- I NEED YOUR LOVE...

2:53 PM

PICHA ZA MATUKIO YA ''BLACK GIRLS ROCK!'' HUKO NEW YORK CITY..

2:51 PM

Ujumbe wa Rama D kuhusu show ya Rick Ross katika Fiesta 2012

2:38 PM

VIDEO RICCO SINGLE MAKING NEW SONG AT JUPETER RECORDS ZANZIBAR

2:33 PM

FORTEEN - KASAMBALATISHA (Officiall Video)

2:11 PM

NASSIR WA VANILLA KUTOKA NA NGOMA MPYA SOON

2:07 PM
Baada ya kufanya poa na ngoma yake ya hanitaki Mkali toka kisiwani zanzibar Nassir wa vanilla yuko mbioni kuachia ngoma mpya mpya ambayo anatarajia kuifanya kupitia Studio ya G-records chini ya mtayarishaji KGT akiongoa na chiwileInc Nassir amefunguka kua mda si mlefu atakua pande za Dar es salaam kwa ajiri ya ku Records hiyo ngoma "Soon mtakua kwenda ku record hiyo ngoma ila sijaju mtafanya na nani ila akili yangu ipo kwa ally Kiba au Ommy Dimponz So mashabiki wa Vanilla wakae mkao wa kula hii ni zawadi kwao" alimaliza Nassir wa Vanilla

MAGAZETI YA UDAKU NA MICHEZO LEO 15 OCTOBER

1:17 AM


.
.
.
.
.
.
.
.
.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates