Tyga aongoza, atayarisha na kuigiza filamu ya ngono ‘Rack City XXX’

12:51 PM
                                          


Rapper wa Young Money, Tyga ameamua kuingia kwenye biashara ya movie za ngono kwa kuanzisha website yake mambo hayo na filamu ya porno iitwayo Rack City XXX.

Tyga ameiongoza na kuitayarisha filamu hiyo huku naye akiigiza.

Kwa wengi wanaofahamu ngoma za Tyga kama ile iitwayo "Make it Nasty,"si jambo la kushangaza kwa rapper huyo aliyejaa tattoo mwili mzima kuja na wazo hilo.

Akiongea na mtandao wa AVN, Tyga alisema “I just felt like now was a time that I wanted to be involved in the sexual part of it--how far can I actually go without actually doing porn?" Tyga wondered. "I think every guy thinks about that. Doing this project it was important for me to put something out with my vision. For young dudes like myself that are into it and to do it my own way without actually exposing myself. This movie really takes 'Rack City,' the song that I made, into the world of triple-X film. It's a real movie that people will enjoy, and I'm proud of it."

Mfahamu Dogo Tundu aliyemdiss Dogo Janja kwa kumwambia anaiga ushoga

12:32 PM

Dogo Janja ana mpinzani mpya. Bahati mbaya ama nzuri sio member wa Tip Top Connection. Anaitwa Dogo Tundu wa Arusha. Amini usiamini, dogo ni mkali balaa. Huenda ni maarufu jijini Arusha lakini kwenye cypher hii ya Wanene huenda akatambulika rasmi nchini. 

Kwenye cypher hii, wakubwa wamemwacha amalize verse ya mwisho na kuonesha ujuzi mkubwa kwenye punch na mashairi makali kama:

“Naitwa Dogo Tundu, rap sio mzungu, usiniletee kiwingu, nitakupiga manundu
Mimi ni kirusi nipo fast, kasi kama risasi kwenye beat nawapiga nazidi kukunja ngita,na siwezi kucheka hili life nimeteseka, machizi wameweka ngita kamanda bado napita mbuga nachapa kama mjeda, nimesimama imara kama Slaa wa Chadema.”
Lakini Dogo Tundu hakuishia hapo akaamua kumchana Dogo Janja:

“Nimezaliwa R, sijazaliwa Dar, mimi sio mshamba kama Janjaro wa Dar
Hakuna Dogo Janja, wala Dogo Jinga , yeye ni sharobaro na mimi ni mniga
Akitema Kirangi mimi nachana hadi Kichaga
Anaiga ushoga eti yeye ndo sharobaro.”

Kanye alikuwa akiangalia ‘sex tape’ ya Kim K na Ray J alipokuwa na mademu wengine

12:23 PM


Mtandao wa TMZ umetonya kuwa kumbe Kanye West alikuwa akiiangalia kanda ya ngono ya mpenzi wake wa sasa  Kim Kardashian wakati akila uroda na mademu wengine.

Kim Kardashian alifanya tape hiyo na mpenzi wake wa zamani Ray J.


Vyanzo mbalimbali vilivyo karibu na Kanye, vimesema Kanye alikuwa akiitumia kanda hiyo ya mikasi ya Kim kumpa mzuka zaidi na kweli ilikuwa ikifanya kazi.

Inasemakana Kanye anaipenda sana sex tape hiyo na hata kuiongelea kwenye wimbo wake utakaokuwepo kwenye albam yake ijayo.


Ila kwa sasa Kanye haiihitaji tena kwakwa anacho kitu chenyewe kitandani!!!

OMMY DIMPOZ - BAADAE (Officiall Video)

12:20 PM

XCLUSIVE PICTURES- LOCATION VIDEO (day 2)TRACK- YAMESAMBALATIKA FROM FOURTEEN

12:07 PM























 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates