NEW TRACK: QUICK ROCKA FT BELLE 9 - KATIKA

9:39 AM
Quck rocka

ALLY FLAVER KUJA NA STAR TALK SHOW

8:40 AM
Ally flaver akiwa jukwaani
Mkali wa bongo flaver anae kimbiza kwa style ya kwaito, Ally flaver anajindaa kutoka na project ya Tv
inayojulikana kama STAR TALK SHOW ( MTAA KWA MTAA) mbayo itakua inaruka live kupitia television akiongea na CHIWILEINC Ally flaver amefunguka kua kipindi kitausisha wasanii wa music,  film, n.k, 'Kaka kipindi kitawahusu ma star wote nachotaka ni ku hakikisha jamii inajua kila kitu kuhusu ma star wao nini wanafanya wanapokua mtaani kwao na mambo mengine mengi wadau wasubiri ujio wangu ambao nadhani utaleta mapinduzi makubwa kwenye sanaa yetu'  alimaliza Ally flaver Ambae amedai licha ya STAR TALK SHOW  kazi za music zipo pale pale
Ally flaver akiwa location
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates