WATU MAARUFU WANAOONGOZA KWA KUWA NA ''FAKE FOLLOWERS WA TWITTER''

4:45 AM

Jambo la kushangaza ni kwamba hata raisi wa Marekani, Barack Obama pia yumo ndani ya list ya watu maarufu wenye wafuasi wa Twitter wengi ambao ni wa kizushi yaani wa kutengeneza. Kwa uhalisia ni kwamba asilimia 70 ya wafuasi wake milioni 19 alio nao, milioni 13.5 ni fake (wa kutengeneza).

Mwanadada Kim Kardashian ameibuka kidedea kwa kuwa Mtu Maarufu anyeongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya wafuasi wa kweli wengi kwenye Twitter. Katika list ya watu 15 wanaongoza Kim ameongoza kwa kuwa asilimia 43 ya wafuasi wake kuwa wa kweli, yaani asilimia 43 ya wafuasi wake wote milioni 15.9 ni wa kweli. Hata Oprah Winfrey pia amekamata nafasi ya 10 kwa kuwa na wafuasi milioni 13.3 na kati yao asilimia 26 tu kuwa wa kweli.
List kamili hii hapa kuanzia mwenye ''WAFUASI'' wengi wa ukweli hadi wachache.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates