Kampuni ya SBC Kenya Limited imedaiwa kuwamezea mate Camp
Mulla ili wame sura za kinywaji cha Pepsi.
Kama ikiwachukua itakuwa na uhakika wa kampeni yake kuwafikia
vijana wengi wa Kenya ambao wanalizimia kundi hilo.
Chanzo kimoja kimeliambia gazeti la The Star kuwa Pepsi
wanalitaka soko la vijana na Camp Mulla wako
juu sana sasa hivi hivyo hiyo itakuwa ni rahisi kwa kinywaji hicho kuongeza
umaarufu kupitia wao.