BERRY BLACK ATAITIWA NA MABAUSA NGOMEKONGWE USIKU WA JANA..

12:57 PM

Tamasha la ZANZIBAR INTERNATIONAL FILM FESTIVAL likiwa linaendelea visiwan zanzibar jana tarehe 11/07 alikuepo DIAMOND na kijana kutoka ZANZIBAR SULTAN KING.,....
Katika hali isio ya kutegemewa, msanii BERRY BLACK kutoka visiwani humo alijikuta mikonon mwa mabausa watuliza fujo.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kinasema Berry black alikua akishangiria sana wakati SULTAN KING alipokua kwa stage kiasi cha kusogea mpaka karibu ya stage, hivyo mabausa wakalazimika kumrudisha nyuma ambapo alikataa na kuanza kuleta utata na kuzua kijifujo cha chati, kwa upande wao .lakini kwa bahati nzuri hakuna ambae amejeruhiwa wala kuumia, walimalizana na mabusa baada ya kukubali kurudi nyuma...!!! na show iliendelea kama kawaida na ilikua bonge la show...

                                                                            

GENIUS FT RICH MAVOKO - NAJUTA KUMFAHAMU

12:42 PM

SHILOLE FT KITOKOLOLO & RICH MAVOKO - VIUNO TUCHEZE

12:39 PM


RICH MAVOKO - MARRY ME

12:37 PM

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates