KIGAMBONI HII TUTAIFIKIA LINI..??

2:20 PM





UNDERGROUND KUMLIPA DIAMOND KWA AJILI YA COLABO NI MILIONI TANO, HII NDIO PESA ALIYOTUMIA KUJENGA MOJA YA NYUMBA ZAKE HUKO TEGETA

2:03 PM


Inawezekana ukawa hujui, ila Diamond ndiye msanii mwenye mkwanja mnene hapa bongo kutokana na show zake ghali anazoendelea kupiga ndani na nje ya bongo.

Inawezekana ukawa huna taarifa pia Diamond ndiye msanii ambaye yuko juu sana kwa sasa Tazania, na aliyepiga show ghali mwaka jana. pia akiwa katika mahojiano na radio moja hapa tz alifunguka akisema "Underground anayeonekana mwenye mkwanja nampiga hadi milioni tano"

alisema "ninaopata ninajaribu kujenga vibanda vyangu ili viweze kunisitiri manake ninazo nyumba tofauti, tofauti tofauti. nyumba ya tegeta nimejenga miloni 62 ina vyumba vinne vitatu master bed room, ina studio, jiko kubwa choo cha public, stoo, dining na sitting room ni nyumba ya kisasa nyingie ninazozijenga zipo ila sipendi kuzizungumzia"

Mwanamke aliyetembea na mtoto wake wa miaka kumi na sita huyu hapa

1:58 PM



A California woman who had sex with her biological son was sentenced Wednesday to four years and eight months in Napa County Superior Court according to the Napa Valley Register.

32-year old Mistie Rebecca Atkinson, had pleaded no contest in May to incest, oral copulation, lewd contact with a minor and distribution of lewd material to a minor. This all stemmed from an incestuous relationship she was having with her 16-year old biological son


HUYU NDIO MTOTO WA MR BLUE ALIYEZALIWA SIKU TANO ZILIZOPITA

1:39 PM







JOH MAKINI- NIAJE NI VIPI

11:54 AM

NILIZO ZIKUTA KWENYE FACEBOOK

3:57 AM

J.mosi hii katika kipindi cha FLASH BACK katika NANI MKALI ni rais wa watu wasafi mwite DAIMOND na rais wa masharobaro BOB JUNIOR....Kama DIAMON mkali comment na Kama BOB JUNIOR ndo mpango mzima LIKE...!! 93.0 MJ FM usiguseee...!! — with Hapie Kims and 36 others.
Photo: J.mosi hii katika kipindi cha FLASH BACK katika NANI MKALI ni rais wa watu wasafi mwite DAIMOND na rais wa masharobaro BOB JUNIOR....Kama DIAMON mkali comment na Kama BOB JUNIOR ndo mpango mzima LIKE...!! 93.0 MJ FM usiguseee...!!

· ·

IZZO BUSINESS - NAICHUKIA MWAKA JANA (official Video)

3:33 AM

(Official video) GODZILLA FT CHEGE -HARD WORK PAYS

3:29 AM

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates