NEY AELEZEA JINSI ALIVYO MDIS CHIDY BENZ

6:45 AM

NILIZO ZIKUTA KWENYE FACEBOOK

6:37 AM

Hassan Bond mmoja wa Viongozi toka Jupiter Records Zanzibar akifafanua kuhusu Kutoshiriki tuzo za ZANZIBAR MUSIC AWARDS!

· · · 18 minutes ago via mobile ·
    • Zukham Key Omar ‎2nzo za zanzbr kw kwel zna mapungufu sana they ar rait kuzgomea kwanz binafs yng nakubaliana na vpengele walivyovikosoa lakn tatz lengn nililoliona ni kuzgawa catgory za 2nzo vbya na ktofanana kw washirki utakta msani wa tarabu anawekw na wa bongo fleva yan category nyng lakn meangles NAWASILISHA
      4 minutes ago via mobile ·
    • Ahmad Mdowe Bora walivojitoa coz mtu anapewa 2zo na elf 50000 wakati dar mtu anapewa 1 na laki 5 lazima wandaaji wa 2zo wa Zanzibar wajipange sana ili mziki wa Zanzibar uwe wasamani napia wasanii wadogo na wao wapate nguvu yakunya uzur ktk gemu la muzic ktk km itakuwa mizingua wasanii wote watajitoa kwa mamb ya kijinga wanao fanyiwa............?
      about a minute ago via mobile ·
· · · 3 hours ago ·
#STUDIO YA KUREKONDIA Nyimbo YA JUPITER RECORD ZANZIBAR NA WASANII WAKE WOTE WAMEJITOA KWENYE ZANZIBAR MUSIC AWARDS KWA SABABU NYINGI WALIZO ZITOA WAO...
Meneja WAO ALIONGEA NA BONGOKWETU2 BLOGSPOT NA KUTOA SABABU HIZO...LKN BONGOKWETU IPO NJIANI KUMTAFUTA MENEJA WA ZANZIBAR MUSIC AWARDS ILI NA YEYE AJIBU SHUTMA HIZO then utazipata sauti zao WOTE wakifunguka kweny www.bongokwetu2.blogspot.com tutajulisha soon tuu...!!!
· ·

BONKE MSANII

6:15 AM

DIAMOND NUNUA MKOKO MPYA

5:51 AM

 

Diamond.…

Add caption


ZANZIBAR MUSIC WARDS MPIGIE KURA MSANII UNAEMTAKA

5:49 AM
                                             ZANZIBAR MUSIC AWARDS 2011/2012
        TUNZO YA MSANII BORA WA MUZIKI WA HIPHOP WA MWAKA WA KIUME 03:CHABI 6 – NIMETUMWA NA BABU
04: KINGPOZA-DULLA
05: SHORTGUN – SHOBO
       TUNZO YA MSANII BORA WA KIUME WA MWAKA MUZIKI WA R&B
06: SULTAN KING – UNANITOSHA
07: SMILE-KICHEFUCHEFU
08: N.I - NAMTAFUTA
       TUNZO YA MSANII BORA WA MWAKA WA KIUME MUZIKI WA AFRO POP
... 10: DOGO FANI- SANGOMA
12: IDDI THABIT – WIVU
       TUNZO YA MSANII BORA WA MWAKA WA KIKE MUZIKI WA AFRO POP13: DORICA – JIRANI
14: BABY J – FURAHA YANGU
15: DIDA – TUMEPENDANA WENYEWE
16: SAYNAG – NAFSI INAUMA
       TUNZO YA STUDIO BORA YA MWAKA 17: SIX RECORDS
18: MK RECORDS
19: JUPITER RECORDS
20: MANDEVU RECORDS
       TUNZO YA MTARISHAJI BORA WA MWAKA
21: BUJU
22: SIDE TO THE LEE
23: MK
24: ALOYNEMY
      TUNZO YA WIMBO BORA WA MWAKA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA
25 : KICHEFUCHEFU - SMILE
26: FURAHA YANGU – BABY J
28 : UNANITOSHA – SULTAN KING
       TUNZO YA MSANII BORA CHIPUKIZI WA MWAKA
29 : SMILE – KICHEFUCHEFU
30 : IMA SCORE – GITA
31 : SARIA YAHYA – HACHOKI ATAFUTAYE
32 : KHADIJA KHAMIS – MBAYA HALISI
       TUNZO YA MWANAMUZIKI BORA WA MWAKA
33 : CHOLO GANUN
34: MK
35 : MOHAMMED MATONA
36: MAKAME FAKI
       TUNZO YA MSANII BORA WA KIUME WA MWAKA WA TAARAB YA KISASA
37 : IBRAHIM KHAMIS
38 : ISSA KHAMIS KAMONGO
      MSANII BORA WA KIKE WA MWAKA WA TAARAB YA KISASA39 : SAADA NASSOR – ZANZIBAR ONE TAARAB
40 : KHADIJA KHAMIS –ZANZIBAR ONE TAARAB
41 : SARIA YAHYA – DIAMOND TAARAB
42 : ESHE MOHAMMED – DIAMOND TAARAB
      TUNZO YA WIMBO BORA WA MWAKA
43: MBAYA HALISI – KHADIJA KHAMIS
44: MBONA YENU HAMSENI – SAADA NASSOR
45 : MAPENZI YAMEJITOKEZA – ESHE MOHAMMED
46 : ATAFUTAYE HACHOKI – SARIA YAHYA
      MUIMBAJI BORA WA KIKE WA MWAKA WA TAARAB ASILIA
47 : BAADIE OMAR
48 : RUKIA RAMADHAN
49 : FATMA ISSA
50 : FAUZIA ABDALLA
      MUIMBAJI BORA WA KIUME WA MWAKA WA TAARAB ASILIA
51 : MAKAME FAKI
52 : IDDI SUWEDI
53 : SAMIR ALI SALUM BAASALAM
      TUNZO YA VIDEO BORA YA MWAKA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA
55 : UNANITOSHA – SULTAN KING
56 : BABY – A BOYS
      TUNZO YA VIDEO BORA YA MWAKA MUZIKI WA TAARAB
58 : ATAFUTAYE HACHOKI – SARIA YAHYA
59 : MAPENZI YAMEJITOKEZA – ESHE MOHAMMED
60 : MBONA YENU HAMSEMI – SAADA NASSOR
61 : MBAYA HALISI – KHADIJA KHAMIS
PIGA KURA YAKO KUPITIA no 0773794141

HASSAN BOND MUSSA AFUNGUKA KUHUSU ZANZIBAR MUSIC AWARDS

5:17 AM
KUPITIA PAGE HII,TUNGEPENDA KUWAJULISHA MASHABIKI WOTE WA JUPITER PAMOJA NA WASANII WALIO UNDER JUPITER KUA........HATUTOSHIRIKI KWENYE TUNZO ZA MWAKA HUU KABISA KWA SABABU ZIFUATAZO
1....HAKUNA TAARIFA RASMI TULIOYOIPATA KUTOKA KWA WAANDAAJI KUHUSU USHIRIKI WA MSANII WETU AU STUDIO(zaidi ya kusikia tuu kwa watu na kusoma kwenye mitandao)
2.UTARATIBU MZIMA WA TUNZO KUTOKUELEWEKA(Iikiwemo wasanii kupata number zao za ushiriki kienyeji bila kupewa rasmi na waandaji)
3.NUMBER ZA SIMUZA KUPIGA KURA KWA WASANII KUA ZA KIBINAFSI(ivyo kukosa imani na namna ya zoezi zima la kura litakavyokua sababu namba inayotumika ni kama ya mtu binafsi)
4.HAKUNA UWAZI JUU YA NANI ANASIMAMIA KURA(Tunzo zote hata KMA kunakua na uwazi juu ya nani anasimamia kuhesabu kura na inatangazwa pia kama ni kampuni au vipi)...

5.WAANDAJI KUTOWAHESHIMU WASANII WALIOWACHAGUA KUSHIRIKI KWA KUSHINDWA HATA KUWAJULISHA RASMI NA KUWAPATIA NAMBA ZA USHIRIKI WAO

KUTOKANA NA SABABU HIZO NA NYINGINE NYINGI JUPITER HATUTAWEZA KUSHIRIKI KWENYE TUNZO MPAKA HAPO WAANDAAJI WATAKAPOKUA WAMEREKEBISHA DOSARI IZO
TUNGUMBUKE KUA WASANII WA ZANZIBAR WATAPATA MAENDELEO KWA SISI TUNAOSIMAMIA HII TASNIA KUWAHESHIMU NA KUTHAMINI KAZI ZAO.

TUNAWATAKIA WAANDAJI NA WASHIRIKI WENGINE TUNZO NJEMA

UONGOZI
JUPITER RECORDS
ZANZIBAR
S

NEW HIT: CENTRAL ZONE ft G NAKO & JOS MTAMBO - NAUZA HISIA

12:35 AM
Tongwe records presents to  Y’all Hip Hop fans worldwide a new,fresh and upcoming crew
Named “Central Zone” from the urban streetz of Dodoma,we talkin’ bout Area C Baby….
Kona iz their leader,Toxic and Moni complete their Posse…
Premierin’ their  second single called “Nauza Hisia” featurin’ G-Nako from Nako 2 Nako
Souljahz and Jos Mtambo from Kigambonino…
Provin’ to tha non-believerz that Hip Hop Reignz Supreme…Au Sio?Au Sio? Yeah!
Wana toka Pande za Area C  Dodoma,wakitambulisha Mkono,Kazi,Project,Mpango
Mzima,Pini Jipya liitwalo “Nauza Hisia”…Wakishirikiana sambamba na G-Nako wa
N2N Souljahz,pamoja na Jos Mtambo wa Kigambonino…Beatz imefumwa na J-Ryder
Kama kawa Sikiliza Ujumbe na Midananndo ya Wasanii
Upate Hisia zinazouzwa…Noma!Together We Stand strong,so let’z do this,
Pamoko tunakuwa Ngilima,kwa hiyo kama vp sana tu,Oi!Oi!Oi!
J-Murder….Tongwe!!!

Family day at Giraffe View Hotel with Wema Sepetu and Omotola

12:29 AM
JUMAPILI YA TAR 24TH JUNE, UZINDUZI RASMI WA SUPERSTAR YA WEMA SEPETU UTAFANYIKA...... AMBAPO KWA MARA YA KWANZA WATANZANIA AMBAO HAWAKUPATA KUALIKWA KATIKA EVENT YA TAR 24 WATAWEZA KUMUONA DIVA WA NOLLYWOOD ANAYEFANYA VIZURI DUNIA OMOTOLA JALADE. HII NI MARA YA KWANZA KWA OMOTOLA KUKANYAGA ARDHI YA TANZANIA.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates