USIKU WA ZANZIBAR NA DAR ES SALAAM NEW MAISHA CLUB

1:57 PM

 Kwa steji ni Sultani KING kutoka Zanzibar, huu ulikuwa usiku wa ZNZ na Dar ambapo walishushwa wasanii wakubwa nikimaanisha kiumri yaani ma bibi zetu mmoja kutoka Zanzibar namzungumzia Bibi Kidude na kutoka Dar alikuwa Bibi Cheka, walisindikizwa na wasanii wadogo na show ilikuwa hot...endelea kutizama picha

 Kwa steji ni Mabeste

 kwa steji Bi Kidude akiingia tayari kwa show

 Bibi Cheka kwa steji na Mh Temba

 Makomandoo kwa steji

 Cyrill na Wakacha kwa steji

 Nyandu tozi kwa steji

 Young D

EXCLUSIVE PICTURES; HARUSI YA AGREY MORRIS

1:54 PM









































pictures za harusi ya beki kisiki wa azam fc na taifa stars Agrey morris alie funga ndoa na Asteria thomas mdaogo wa damu wa mtangazaji wa bomba fm donisya thomas
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates