BOBANI ASAFIRI NA NDALA

2:38 PM
                                                                  Bobani akiwa airport           ktk hali ya kushangaza kiungo mchezeshaji wa klabu ya simba haruna moshi 'Bobani amesafiri    kuelekea sudan kwenye mechi ya mrudiano akiwa na ndala                                                                                                                                                                        

MAN TUZZO NA UJIO MPYA BAADA ZANZIBAR MUSIC AWARD

2:21 PM
Man tuzzo wa rhymes amesema atachia nyimbo mpya baada ya tunzo za zanzibar music Award chiwile inc imemtafuta ili kujua sababu za mamuziayo bila mafaniko ila ripot kamili mtaipa ivi soon......

UNATAKA KUJUA KINACHO ENDELEA KATI YA JOBFIRE NA BARNABA..?

2:10 PM
Mkali jobfire a.k.a sauti za matukio yuko mbioni kufanya single na barnaba boy classic akiongea na chiwile inc JOBFIRE amesema iyo itakua ni hatua kubwa kwake coz alikua na ndoto ya kufanya kazi na barnaba kwa iyo ndoto zake zinaelekea kutimia amefunguka zaidi akisema ngoma iyo amepanga kuifanya ndani ya BURN RECZ chini ya mkali chidy claver

USIKU WA MAFAHARI WA HIP HOP

1:58 PM

VICHWA HATARI VINAPO KUTANA

1:34 PM
                                     I son mwanaharakati,  side 2the lee,  kilakirami & chiwile jr

WHITH MA HOME BOY ISSA NDOKEJI (RASTA)

1:13 PM
build the habit of thinking before we decide we want to live at home, though not clean
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates